Kozi za Biblia

Kozi 6 zinapatikana

Taswira ya Mafundisho Kuhusu Mungu (Teolojia)
MZB-101 Ngazi ya msingi
Mafundisho Kuhusu Mungu (Teolojia)

Kozi hii inajenga uelewa na msingi wa kumjua Mungu kupitia njia mbalimbali alizotumia Mungu ili kumsaidia Mwanadamu kupata njia ya …

5 moduli Wiki 10
$3.00
Tazama kozi
Taswira ya Mafundisho Kuhusu Mwanadamu (Anthropolojia)
MNM-102 Ngazi ya msingi
Mafundisho Kuhusu Mwanadamu (Anthropolojia)

Kozi hii inachunguza uumbaji wa Mungu na asili ya mwanadamu kwa mtazamo wa Biblia na Waadventista.

2 moduli Wiki 6
$6.00
Tazama kozi
Taswira ya Wokovu (Soteriolojia)
WKV-201 Ngazi ya msingi
Wokovu (Soteriolojia)

Kozi hii inaweka wazi pambano kuu, kazi ya Kristo, uzoefu wa wokovu, na kukua kwa mwamini katika Kristo.

4 moduli Wiki 8
$4.00
Tazama kozi
Taswira ya Kanisa (Eklesiolojia)
KNS-202 Ngazi ya msingi
Kanisa (Eklesiolojia)

Kozi hii inafundisha utambulisho wa kanisa, umoja wake, ibada zake, karama zake, na utume wake katika ulimwengu.

7 moduli Wiki 12
$7.97
Tazama kozi
Taswira ya Mafundisho Kuhusu Maisha ya Imani
MIM-203 Ngazi ya msingi
Mafundisho Kuhusu Maisha ya Imani

Kozi hii inaleta mafundisho ya maisha ya kila siku ya mwamini: sheria, Sabato, uwakili, mwenendo wa Kikristo, na familia.

5 moduli Wiki 10
$7.00
Tazama kozi
Taswira ya Eskatolojia
ESK-204 Ngazi ya msingi
Eskatolojia

Kozi hii inaleta tumaini la mwisho: huduma ya Kristo mbinguni, kurudi kwake, mauti na ufufuo, milenia, na dunia mpya.

5 moduli Wiki 10
$6.47
Tazama kozi