Taswira ya Mafundisho Kuhusu Maisha ya Imani

Mafundisho Kuhusu Maisha ya Imani

Kozi hii inaleta mafundisho ya maisha ya kila siku ya mwamini: sheria, Sabato, uwakili, mwenendo wa Kikristo, na familia.

Muundo wa kozi
MIM-203
Ngazi ya msingi
Credits 3
Muda wa kujifunza
Wiki 10
5 moduli / 24 masomo
Sharti la kufaulu
Pata Cheti Chako
Unahitaji kupata angalau asilimia 75% ili iweze kufaulu.
Matokeo ya kujifunza
  • Kuona uhusiano wa sheria ya Mungu na maisha ya mwamini.
  • Kufafanua umuhimu wa Sabato katika ibada na utambulisho wa muumini.
  • Kukuza uwakili mwaminifu wa mwili, muda, vipaji, na mali.
  • Kujenga mwenendo wa Kikristo ulio safi katika afya, maadili, ndoa, na familia.
Vitabu na miongozo
  • Biblia Takatifu
  • Imani za Msingi
  • The Ministry of Healing
  • Counsels on Stewardship

Yaliyomo katika kozi

Kanuni kuu za sheria ya Mungu zimeunganishwa katika Amri Kuimi na zilifuatishwa katika maisha ya Kristo. Nazo zinadhihirisha upendo na mapenzi ya Mungu, na makusudi yake kuhusu mwenendo wa binadamu na mahusiano nazo ni sharti kwa watu wote katika kila kizazi. Amri hizi ni msingi wa agano la Mungu na watu na kanuni kati

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 01: Msingi wa Sheria ya Mungu
    Utangulizi • Asili ya Sheria ya Mungu • Sheria ya kiroho
    Dakika 50-60
  • Somo la 02: Ufafanuzi wa Sheria ya Mungu
    Makusudi ya Sheria • 1. Hufunua mapenzi ya Mungu kwa Wanadamu • 3. Ni kipimo cha Hukumu
    Dakika 20-30
  • Somo la 03: Maendeleo ya Sheria ya Mungu
    7. Hukinga maovu na huleta Baraka • Kudumu kwa Sheria • Sheria kabla ya Sinai
    Dakika 15-20
  • Somo la 04: Matumizi ya Sheria ya Mungu
    Sheria kwenye Mlima Sinai • Sheria ya Mungu kabla ya Kurudi kwa Yesu • Sheria na Injili
    Dakika 50-60
  • Somo la 05: Muhtasari wa Sheria ya Mungu
    Dakika 10-15

Moduli hii inafundisha fundisho la Sabato kwa kutumia faili ya chanzo 20Sabato.html.

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 06: Msingi wa Sabato
    Utangulizi • Sabato Edeni • Sinai
    Dakika 40-50
  • Somo la 07: Ufafanuzi wa Sabato
    Umuhimu wa Sabato kiroho • Mabadiliko ya Sabato • Je ni Mungu?
    Dakika 20-30
  • Somo la 08: Maendeleo ya Sabato
    Kama siyo Mungu, Yesu au wanafunzi, ni nani basi? • Matamko ya Kanisa Katoliki yanakubali kwamba ndilo lililobadili sabato kutoka Jumamosi hadi Jumapili. • Mabadiliko yalitabiriwa.
    Dakika 30-40
  • Somo la 09: Matumizi ya Sabato
    Matengenezo ya Sabato • 1. Je, tuheshimu Jumapili kwa kuwa Yesu alifufuka siku hiyo? • 2. Je, si kalenda imebadilishwa?
    Dakika 20-30
  • Somo la 10: Muunganiko wa Sabato
    3. Ni vigumu kutambua ni siku ipi ndiyo ya saba katika wiki. • 7. Amri 10 zilibatilishwa ikiwemo Sabato • 8. Sabato ilibatilishwa
    Dakika 30-40
  • Somo la 11: Muhtasari wa Sabato
    Dakika 10-15

Sisi tu wmawakili wa Mungu, tuliokabidhiwa na Yeye wakati, fursa, uwezo, na mali na mibaraka ya dunia na rasilmali zake. Tunawajibika kwake kwa matumizi yake mazuri. Tunakiri umilikaji wa Mungu kwa kutoa utumishi mzuri kwake na kwa wanadamu wenzetu, kwa kumrudishia zaka na kutoa sadaka kwa ajili ya kutangaza injili Yak

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 12: Msingi wa Uwakili
    Utangulizi • Uwakili ni nini? • Mungu ni mmiliki
    Dakika 30-40
  • Somo la 13: Maendeleo ya Uwakili
    Uwakili wa miili • Uwakili wa Uwezo (talanta) • Uwakili wa vile tunavyoweza kuvimiliki
    Dakika 40-50
  • Somo la 14: Muhtasari wa Uwakili
    Dakika 10-15

Tumeitwa tuwe watu watawa wanaofikiri na kujisikia, na kutenda kwa kufuatana na sheria za mbinguni. Ili Roho aumbe upya tabia ya Bwana wetu ndani yetu tunajihusisha tu katika mambo ambayo yataleta katika maisha yetu utukufu, afya na furaha inayofananana na ya Kristo. Maana yake ni kwamba furaha yetu na tafrija zetu zin

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 15: Msingi wa Mwenendo wa Kikristo
    Utangulizi • Mwenendo na Wokovu • Mahekalu ya Roho Mtakatifu
    Dakika 50-60
  • Somo la 16: Maendeleo ya Mwenendo wa Kikristo
    E) Baraka ya kuishi kwa kiasi, bila madawa wala vichocheo • F) Baraka ya Pumziko • G) Baraka ya Chakula chenye Lishe
    Dakika 50-60
  • Somo la 17: Matumizi ya Mwenendo wa Kikristo
    Kanuni za Viwango vya Kikristo • Kuishi na Nia ya Kristo • Kuishi Tukimsifu na Kumtukuza Mungu
    Dakika 30-40
  • Somo la 18: Muhtasari wa Mwenendo wa Kikristo
    Dakika 10-15

Ndoa ilianzishwa na Mungu katika Edeni na ikathibitishwa na Yesu kuwa muungano wa maisha yote kati mwanaume na mwanamke katika wenzi wa upendo. Kwa Mkristo kifungo cha ndoa ni kwa Mungu na pia kwa mwenzi, na wenzi wanaokishiriki sharti wawe wenye imani moja tu. Upendo wa hiari, heshima staha na wajibu ndiso nyuzi za uh

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 19: Msingi wa Ndoa na Familia
    Utangulizi • Tangu Mwanzo • Mwanamume na Mwanamke kwa Mfano wa Mungu.
    Dakika 50-60
  • Somo la 20: Ufafanuzi wa Ndoa na Familia
    b) Kusimama pamoja. • c) Tendo la ndo. • 5. Upendo ki Biblia.
    Dakika 50-60
  • Somo la 21: Maendeleo ya Ndoa na Familia
    Uasherati na uzinzi. • Mawazo yasiyo safi • Uzinzi wa mzazi kwa mtoto wake.
    Dakika 40-50
  • Somo la 22: Matumizi ya Ndoa na Familia
    Familia • 1. Baba. • 2. Mama.
    Dakika 40-50
  • Somo la 23: Muunganiko wa Ndoa na Familia
    3. Ahadi. • 4. Kudumu kufundisha. • 5. Kujifunza utiii.
    Dakika 50-60
  • Somo la 24: Muhtasari wa Ndoa na Familia
    Dakika 10-15
5 moduli 24 masomo
$0.00 $7.00
100% OFF Ofa Maalum
Inaisha 31 Jul 2026
Jisajili ili ujiunge Ingia
Kinachohitajika Ili Kujiunga

Kozi hii inafaa kwa wote. Hata hivyo, kozi hizi zinaweza kukusaidia kuelewa vizuri zaidi: