Taswira ya Kanisa (Eklesiolojia)

Kanisa (Eklesiolojia)

Kozi hii inafundisha utambulisho wa kanisa, umoja wake, ibada zake, karama zake, na utume wake katika ulimwengu.

Muundo wa kozi
KNS-202
Ngazi ya msingi
Credits 4
Muda wa kujifunza
Wiki 12
7 moduli / 26 masomo
Sharti la kufaulu
Pata Cheti Chako
Unahitaji kupata angalau asilimia 75% ili iweze kufaulu.
Matokeo ya kujifunza
  • Kueleza maana na chimbuko la kanisa kwa mtazamo wa Biblia.
  • Kutambua nafasi ya masalio na utume wa siku za mwisho.
  • Kufafanua ubatizo, Meza ya Bwana, na karama za Roho katika maisha ya kanisa.
  • Kuelewa nafasi ya karama ya unabii katika historia na utume wa Waadventista.
Vitabu na miongozo
  • Biblia Takatifu
  • Imani za Msingi
  • Christian Service
  • Church Manual

Yaliyomo katika kozi

Kanisa ni jumuiya ya waumini waliokubali kumkiri Yesu kama mwokozi na Bwana wao. Kwa kuunganika na watu wa Mungu katika Agano la Kale, tumeitwa kutoka ulimwenguni na tunaungana pamoja kwa ibada, ushirika, kufundisha Neno, kusherehekea Meza ya Bwana, katika utumishi kwa wanadamu na katika kutangaza injili duniani kote.

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 01: Msingi wa Kanisa
    Utangulizi • Maana ya Kanisa Kibiblia • Chimbuko la Kanisa
    Dakika 50-60
  • Somo la 02: Maendeleo ya Kanisa
    Muundo na Majukumu ya Kanisa • Muundo • Washiriki wa Kanisa
    Dakika 30-40
  • Somo la 03: Matumizi ya Kanisa
    Majukumu Makuu ya Kanisa • Uongozi wa Kanisa • Maofisa wa Kanisa katika Agano Jipya
    Dakika 50-60
  • Somo la 04: Muhtasari wa Kanisa
    Dakika 10-15

Kanisa la ulimwenguni linajumuisha wale wote ambao kwa kweli wanaoamini katika Kristo lakini katika siku za mwisho wakati wa kuenea kwa uasi, watu wa masalio wameitwa watoke wazitunze amri za Mungu na imani ya Yesu. Hawa masalio wanatangaza saa ya kuja kwa hukumu, wakihubiri wokovu katika Kristo, na kupiga mbiu ya kuka

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 05: Msingi wa Masalio na Utume Wake
    Utangulizi • Uasi Mkuu • Kuinuka kwa Mtu wa Kuasi
    Dakika 50-60
  • Somo la 06: Maendeleo ya Masalio na Utume Wake
    Masalio • Masalio ni akina nani? • Tabia za masalio
    Dakika 20-30
  • Somo la 07: Matumizi ya Masalio na Utume Wake
    Ujumbe waMalaika wa Kwanza • Ujumbe wa Malaika wa Pili • Ujumbe wa Malaika wa Tatu
    Dakika 50-60
  • Somo la 08: Muhtasari wa Masalio na Utume Wake
    Dakika 10-15

Kanisa ni mwili moja wenye viungo vingi, vilivyoitwa kutoka katika kila taifa, kabila, lugha na jamaa. Katika Kristo tu uumbaji mpya; tofauti za rangi, utamaduni, elimu na utaifa, na tofauti kati ya tabaka ya juu na ya chini, tajiri na maskini, mwanamume na mwanamke miongoni mwetu visitugawanye. Sisi sote ni sawa katik

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 09: Msingi wa Umoja Katika Mwili wa Kristo
    Utangulizi • Umoja Kimaandiko na Kanisa • Umoja wa Roho
    Dakika 40-50
  • Somo la 10: Maendeleo ya Umoja Katika Mwili wa Kristo
    Umoja unao umuhimu gani? • Chanzo cha umoja • Roho Mtakatifu mwunganishi
    Dakika 30-40
  • Somo la 11: Matumizi ya Umoja Katika Mwili wa Kristo
    Amri Mpya ya Yesu • Umoja katika msalaba • Hatua za kufikia umoja.
    Dakika 20-30
  • Somo la 12: Muhtasari wa Umoja Katika Mwili wa Kristo
    Dakika 10-15

Kwa ubatizo tunakiri imani yetu katika kifo na ufufuo wa Yesu Kristo, na kushuhudia kufia kwetu dhambi na kusudi letu la kuenenda katika upya wa uzima. Hivyo tunamtambua Kristo kama Bwana na Mwokozi, tunakuwa watu wake, na tupokelewa kama washiriki na kanisa lake. Ubatizo ni mfano wa muungano wetu na Kristo msamaha wa

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 13: Msingi wa Ubatizo
    Utangulizi • Ubatizo na Wokovu • Ubatizo Mmoja
    Dakika 50-60
  • Somo la 14: Maendeleo ya Ubatizo
    Ishara ya Kifo cha Yesu na Kufufuka • Ishara ya kuwa Mfu kwa dhambi na Kuwa Hai katika Kristo • 1. Imani
    Dakika 50-60
  • Somo la 15: Muhtasari wa Ubatizo
    Dakika 10-15

Meza ya Bwana ni kushiriki katika mfano wa mwili na damu ya Yesu kama udhihirisho wa imani katika Yeye, Bwana na Mwokozi wetu. Katika uzoefu huu wa ushirika, Kristo anakuwepo kukutana na kuwaimarisha watu wake. Tunapotwaa (mkate na divai) kwa furaha tunatangaza mauti ya Bwana hata arudipo tena. Maandalizi ya Meza ya Bw

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 16: Msingi wa Meza ya Bwana
    Utangulizi • Agizo la Kuoshana Miguu • 1. Ukumbusho wa kujishusha kwa Kristo
    Dakika 40-50
  • Somo la 17: Maendeleo ya Meza ya Bwana
    4. Ushirikiano pamoja na Kristo na waumini. • Kusherehekea Meza ya Bwana • Maana ya Chakula cha Bwana
    Dakika 15-20
  • Somo la 18: Matumizi ya Meza ya Bwana
    1. Kukumbuka kuokolewa kutoka dhambini • 2. Kushiriki mwili wa Kristo. • 3. Kutarajia ujio wa Bwana mara ya pili.
    Dakika 50-60
  • Somo la 19: Muhtasari wa Meza ya Bwana
    Dakika 10-15

Mungu huwakirimia washiriki wote wa kanisa lake katika kila kizazi karama za kiroho ambazo kila mshiriki atatumia katika huduma ya upendo kwa ajili ya ustawi wa wote kanisani na wa wanadamu. Zikitolewa kwa nguvu za Roho Mtakatifu, ambaye humgawia kila mshiriki kama apendavyo Yeye, karama hizi hutoa uwezo wote na huduma

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 20: Msingi wa Karama za Roho na Huduma
    Utangulizi • Karama za Roho Mtakatifussss • Makusudi ya Karama za Kiroho
    Dakika 30-40
  • Somo la 21: Maendeleo ya Karama za Roho na Huduma
    Umoja ndani ya Kanisa
    Dakika 40-50
  • Somo la 22: Muhtasari wa Karama za Roho na Huduma
    Dakika 10-15

Mojawapo ya karama za Roho Mtakatifu ni unabii. Karama hii ni alama inayolitambulisha masalio na ilidhihirika katika huduma ya Ellen G. White. Kama mjumbe wa Bwana, maandishi yake yanaendelea kuwa chanzo madhubuti cha ukweli yanayotoa kwa kanisa faraja, uongozi, mafundisho, na maonyo. Pia yanaweka wazi kwamba Biblia nd

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 23: Msingi wa Karama ya Unabii
    Utangulizi • Karama ya Unabii nyakati za Biblia • Majukumu ya Manabii katika Agano Jipya
    Dakika 40-50
  • Somo la 24: Maendeleo ya Karama ya Unabii
    Karama ya Unabii karibu na Kuja kwa Yesu mara ya Pili • Karama ya Unabii katika Kanisa la Masalio • Kupima Karama ya Unabii
    Dakika 30-40
  • Somo la 25: Matumizi ya Karama ya Unabii
    Roho ya Unabii katika Kanisa la Waadventista Wasabato • Roho ya Unabii na Biblia • Maisha na Huduma ya Ellen White
    Dakika 50-60
  • Somo la 26: Muhtasari wa Karama ya Unabii
    Dakika 10-15
7 moduli 26 masomo
$0.00 $7.97
100% OFF Ofa Maalum
Inaisha 31 Jul 2026
Jisajili ili ujiunge Ingia
Kinachohitajika Ili Kujiunga

Kozi hii inafaa kwa wote. Hata hivyo, kozi hizi zinaweza kukusaidia kuelewa vizuri zaidi: