Taswira ya Eskatolojia

Eskatolojia

Kozi hii inaleta tumaini la mwisho: huduma ya Kristo mbinguni, kurudi kwake, mauti na ufufuo, milenia, na dunia mpya.

Muundo wa kozi
ESK-204
Ngazi ya msingi
Credits 3
Muda wa kujifunza
Wiki 10
5 moduli / 19 masomo
Sharti la kufaulu
Pata Cheti Chako
Unahitaji kupata angalau asilimia 75% ili iweze kufaulu.
Matokeo ya kujifunza
  • Kueleza huduma ya Kristo katika patakatifu pa mbinguni.
  • Kufafanua kurudi kwa Yesu mara ya pili kwa msingi wa Biblia.
  • Kuelewa hali ya wafu, ufufuo, na milenia.
  • Kukuza tumaini la dunia mpya na ushindi wa mwisho wa Mungu.
Vitabu na miongozo
  • Biblia Takatifu
  • Imani za Msingi
  • The Great Controversy

Yaliyomo katika kozi

Hukumu ya Upelelezi hufunua kwa viumbe wa mbinguni ni nani miongoni mwa wafu wamelala mauti katika Kristo na hivyo, katika Yeye wanahesabiwa kustahili kuwa na sehemu katika ufufuo wa kwanza. Pia inadhihirisha wazi nani miongoni mwa walio hai wanaishi katika Kristo, wakitunza amri za Mungu na kuwa na imani ya Yesu na ka

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 01: Msingi wa Huduma ya Kristo katika Patakatifu pa Mbinguni
    Utangulizi • Huduma ya Hekalu la Mbinguni • Kafara mbadala ya upatanisho
    Dakika 40-50
  • Somo la 02: Maendeleo ya Huduma ya Kristo katika Patakatifu pa Mbinguni
    Wakati wa Hukumu • Kutukuzwa kwa tabia ya Mungu • Hukumu na Wokovu
    Dakika 50-60
  • Somo la 03: Muhtasari wa Huduma ya Kristo katika Patakatifu pa Mbinguni
    Dakika 10-15

Kuja kwa kristo mara ya pili ndilo tumaini lenye baraka la kanisa, hitimisho kuu la injili. Kuja kwa mwokozi kutakuwa halisi, binafsi, kutaonekana kwa dunia mzima. Atakaporudi wenye haki waliokufa watafufuliwa na pamoja na wenye haki walio hai watavikwa utukufu na kuchukuliwa kwenda mbinguni, lakini waovu watakufa. Kut

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 04: Msingi wa Kuja kwa Yesu Mara ya Pili
    Utangulizi • Maelezo ya kuja kwa Yesu • Uhakika wa Kuja kwake
    Dakika 50-60
  • Somo la 05: Maendeleo ya Kuja kwa Yesu Mara ya Pili
    Kuja kwa Yesu na matokeo yake kwa wanadamu • Dalili za Kuja kwa Yesu mara ya Pili • Dalili juu ya ulimwengu wa kidini
    Dakika 20-30
  • Somo la 06: Muhtasari wa Kuja kwa Yesu Mara ya Pili
    Dakika 10-15

Mshahara wa dhambi ni mauti. Lakini Mungu, ambaye peke yake ana kutokufa, atawapa waliokombolewa wake uzima wa milele. Mpaka siku hiyo mauti ni hali ya kutojifahamu kwa watu wote. Wakati Kristo, ambaye ni uzima wetu, atakapoonekana, wenye hai waliofufuliwa na wenye haki walio hai watabadilishwa na kupewa miili ya utuku

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 07: Msingi wa Mauti na Ufufuo
    Utangulizi • Hali ya Kutokufa na Mauti (Kifo) • Kutokufa.
    Dakika 50-60
  • Somo la 08: Ufafanuzi wa Mauti na Ufufuo
    Kupokea kutokufa • Asili ya Mauti (Kifo) • Mauti (Kifo) ni usingizi
    Dakika 30-40
  • Somo la 09: Maendeleo ya Mauti na Ufufuo
    Mtu kurudi Mavumbini • Wafu wako wapi? • Roho kumrudia Mungu
    Dakika 50-60
  • Somo la 10: Matumizi ya Mauti na Ufufuo
    Mauti ya Kwanza na Mauti ya Pili • Ufufuo • Fufuo Mbili
    Dakika 40-50
  • Somo la 11: Muunganiko wa Mauti na Ufufuo
    2. Ufufuo wa hukumu • Mafungu ya Biblia yanayodhaniwa Kuelezea Wafu wako Hai • Maelezo ya Mafungu
    Dakika 50-60
  • Somo la 12: Muhtasari wa Mauti na Ufufuo
    Dakika 10-15

Milenia ni miaka elfu moja ya utawala wa kristo pamoja na watakatifu wake mbinguni kati ya ufufuo wa kwanza na pili. Wakati huo waovu waliokufa watahukumiwa, dunia itakuwa ukiwa na utupu, bila wanadamu wakazi walio hai, lakini ikikaliwa na shetani na malaika zake. Mwishowe kristo na watakatifu wake na Mji Mtakatifu wat

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 13: Msingi wa Milenia na Mwisho wa Dhambi
    Utangulizi • Matukio Kabla ya Miaka 1,000 • Kristo mbinguni pamoja na Watakatifu
    Dakika 40-50
  • Somo la 14: Maendeleo ya Milenia na Mwisho wa Dhambi
    Matukio Baada ya Miaka 1,000 • Shetani na waovu wataangamizwa • Adhabu Ya Waovu
    Dakika 30-40
  • Somo la 15: Matumizi ya Milenia na Mwisho wa Dhambi
    Hukumu ya waovu itatekelezwa wakati ujao, siyo sasa • Kinachofanya hukumu / adhabu ya waovu • Vielelezo hufafanua mwisho wa Waovu
    Dakika 50-60
  • Somo la 16: Muhtasari wa Milenia na Mwisho wa Dhambi
    Dakika 10-15

Katika dunia mpya, ambamo haki hukaa, Mungu ataweka tayari makao ya milele waliokombolewa na mazingira makamilifu kwa maisha ya milele, upendo, furaha na kujifunza mbele zake. Kwa hapa Mungu mwenyewe atakaa pamoja na watu wake, na taabu na mauti vitakuwa vimepita. Pambano kuu litakuwa limemalizika, na dhambi haitakuwep

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 17: Msingi wa Dunia Mpya
    Utangulizi • Nchi mpya ni kitu halisi • Kiunganishi
    Dakika 40-50
  • Somo la 18: Maendeleo ya Dunia Mpya
    Maisha katika Nchi Mpya • Maisha ya Kijamii kwenye Nchi mpya • Maisha ya Kiakili kwenye Nchi Mpya
    Dakika 30-40
  • Somo la 19: Muhtasari wa Dunia Mpya
    Dakika 10-15
5 moduli 19 masomo
$0.00 $6.47
100% OFF Ofa Maalum
Inaisha 31 Jul 2026
Jisajili ili ujiunge Ingia
Kinachohitajika Ili Kujiunga

Kozi hii inafaa kwa wote. Hata hivyo, kozi hizi zinaweza kukusaidia kuelewa vizuri zaidi: