Mafundisho Kuhusu Mwanadamu (Anthropolojia)
Kozi hii inachunguza uumbaji wa Mungu na asili ya mwanadamu kwa mtazamo wa Biblia na Waadventista.
Matokeo ya kujifunza
- Kuunganisha fundisho la uumbaji na hadhi ya mwanadamu.
- Kueleza maana ya mwanadamu kuumbwa kwa sura ya Mungu.
- Kutambua umoja wa asili ya mwanadamu na matokeo ya anguko.
- Kujenga msingi wa kuelewa kwa nini mwanadamu anahitaji wokovu.
Vitabu na miongozo
- Biblia Takatifu
- Imani za Msingi
- Patriarchs and Prophets
Yaliyomo katika kozi
Mungu ni Muumbaji wa vitu vyote, na amefunua katika Maandiko Matakatifu uhalisi wa tukio la utendaji wake wa uumbaji. Katika siku sita Bwana alifanya “mbingu nan chi” na vitu vyote vilivyo hai juu ya nchi, akastarehe siku ya saba ya juma lile la kwanza. Kwa hiyo akaanzisha Sabato kama kumbukumbu ya milele ya kukamilish
-
Dakika 30-40Somo la 01: Msingi wa UumbajiUtangulizi • Neno la Mungu liumbalo • Neno Liumbalo na Maada iliyokuwapo
-
Dakika 40-50Somo la 02: Maendeleo ya UumbajiMbingu ni kitu gani • Umuhimu wa Uumbaji • Kipindi cha Uumbaji.
-
Dakika 10-15Somo la 03: Muhtasari wa Uumbaji
Mwanamume na mwanamke waliumbwa wakiwa na mfano wa sura ya Mungu binafsi wakiwa na uwezo na uhuru wa kufikiri na kutenda. Japo waliumbwa huru, kila mtu katika umoja wote wa mwili, akili na roho, walimtegemea Mungu kwa uhai, kuvuta pumzi na mengineyo yote. Wakati wazazi wetu walipomkaidi Mungu, sura ya mwumbaji iliharibiwa na wa
-
Dakika 40-50Somo la 04: Msingi wa Mwanadamu na Asili yakeUtangulizi • Wazo la kumuumba mwanadamu lilitoka kwa Mungu (Mwa. 1:26) • Mwanadamu aliumbwa kwa udongo na pumzi (Mw. 2:7)
-
Dakika 50-60Somo la 05: Maendeleo ya Mwanadamu na Asili yake2. Maana ya Pumzi ya Uhai • a) Muungano wa viwili • Aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
-
Dakika 50-60Somo la 06: Matumizi ya Mwanadamu na Asili yakeAthari za haraka • Maana ya dhambi • Miali ya Matumaini
-
Dakika 10-15Somo la 07: Muhtasari wa Mwanadamu na Asili yake
Kinachohitajika Ili Kujiunga
Kozi hii inafaa kwa wote. Hata hivyo, kozi hizi zinaweza kukusaidia kuelewa vizuri zaidi: