Taswira ya Wokovu (Soteriolojia)

Wokovu (Soteriolojia)

Kozi hii inaweka wazi pambano kuu, kazi ya Kristo, uzoefu wa wokovu, na kukua kwa mwamini katika Kristo.

Muundo wa kozi
WKV-201
Ngazi ya msingi
Credits 3
Muda wa kujifunza
Wiki 8
4 moduli / 16 masomo
Sharti la kufaulu
Pata Cheti Chako
Unahitaji kupata angalau asilimia 75% ili iweze kufaulu.
Matokeo ya kujifunza
  • Kueleza pambano kuu kati ya Kristo na Shetani.
  • Kufafanua maisha, kifo, na ufufuo wa Kristo kama msingi wa wokovu.
  • Kuelewa hatua za uzoefu wa wokovu katika maisha ya mwamini.
  • Kukuza maisha ya ushindi na ukuaji wa kiroho ndani ya Kristo.
Vitabu na miongozo
  • Biblia Takatifu
  • Imani za Msingi
  • Steps to Christ
  • The Desire of Ages

Yaliyomo katika kozi

Jamii yote ya wanadamu sasa imo katika pambano kuu baina ya Kristo na Shetani kuhusu tabia ya Mungu, Sheria yake na Utawala wake juu ya ulimwengu wote. Mapigano haya yalianzia mbinguni wakati kiumbe aliyeumbwa na kutunukiwa uhuru wa kuchagua , kwa kujiinua akawa Shetani, mpinzani wa Mungu na akaongoza sehemu ya malaika

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 01: Msingi wa Pambano Kuu
    Utangulizi • Kuhusishwa kwa Ulimwengu Wote • Asili ya pambano
    Dakika 40-50
  • Somo la 02: Maendeleo ya Pambano Kuu
    Kinachoshindaniwa • Kristo na suala la Utii • Kalvari
    Dakika 20-30
  • Somo la 03: Matumizi ya Pambano Kuu
    Swali la Msingi • Msingi wa mafundisho ya Biblia • Umuhimu wa Fundisho la Pambano Kuu
    Dakika 20-30
  • Somo la 04: Muhtasari wa Pambano Kuu
    Dakika 10-15

Katika maisha ya Kristo ya utii kamili kwa mapenzi ya Mungu, mateso yake, kifo chake na ufufuo, Mungu aliandaa tayari njia pekee ya upatanisho kwa dhambi ya mwanadamu, ili kwamba wale ambao kwa imani watapokea upatanisho huu wapate uzima wa milele, na ulimwengu wote uweze kuelewa vema upendo mtakatifu usio na kikomo wa

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 05: Msingi wa Maisha, Kifo na Ufufuo wa Kristo
    Utangulizi • Neema ya Mungu iokoayo • Kusamehe au kuadhibu?
    Dakika 40-50
  • Somo la 06: Maendeleo ya Maisha, Kifo na Ufufuo wa Kristo
    Huduma ya Yesu ya Upatanisho • Yesu Fidia • Yesu mwakilishi wa Wanadamu
    Dakika 40-50
  • Somo la 07: Matumizi ya Maisha, Kifo na Ufufuo wa Kristo
    Kwa nini Yesu alikuja mara ya Kwanza? • Kazi gani Yesu alikuja kuifanya? • Matokeo ya Huduma ya Yesu ya Wokovu
    Dakika 50-60
  • Somo la 08: Muhtasari wa Maisha, Kifo na Ufufuo wa Kristo
    Dakika 10-15

Kwa upendo usio na kifani na rehema, Mungu alimfanya Kristo asiyejua dhambi kuwa dhambi kwa ajili yetu, kusudi katika Yeye tuweze kufanywa haki ya Mungu. Tukiongozwa na Roho Mtakatifu, tunatambua hitaji letu, na kukiri hali yetu ya dhambi, tunatubia uasi wetu, na kuonyesha imani katika Yesu kama Bwana na Kristo, kuwa m

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 09: Msingi wa Uzoefu wa Wokovu
    Utangulizi • Uzoefu wa Wokovu na Wakati Uliopita • 1. Kutubu (toba)
    Dakika 50-60
  • Somo la 10: Maendeleo ya Uzoefu wa Wokovu
    Uzoefu wa Wokovu na Wakati wa Sasa • Wito wa kuishi maisha matakatifu. • Mabadiliko ya Ndani
    Dakika 30-40
  • Somo la 11: Matumizi ya Uzoefu wa Wokovu
    Ukamilifu wa Biblia • Uzoefu wa Wokovu na Wakati Ujao • Kuvikwa Utukufu na Kutakaswa
    Dakika 30-40
  • Somo la 12: Muhtasari wa Uzoefu wa Wokovu
    Dakika 10-15

Kwa kifo chake msalabani Yesu alizishinda nguvu za uovu. Yeye aliyewatiisha pepo wachafu wakati wa huduma yake hapa duniani amezivunja nguvu zao na kuthibitisha mwisho wao ni uangamivu usioepukika. Ushindi wa Yesu utupatia ushindi dhidi ya nguvu za uovu ambazo bado zinatafuta kututawala, tunapo tembea naye kwa amani, f

Rejea
Biblia Takatifu
  • Somo la 13: Msingi wa Kukua Katika Kristo
    Utangulizi • Maisha Huanza na Kifo • Kifo cha Yesu
    Dakika 40-50
  • Somo la 14: Maendeleo ya Kukua Katika Kristo
    1. Maisha ya Kiroho • 2. Maisha ya upendo na umoja • 3. Maisha ya Kujifunza Biblia
    Dakika 20-30
  • Somo la 15: Matumizi ya Kukua Katika Kristo
    4. Maisha ya Maombi • 5. Maisha yenye Matunda • 6. Maisha ya Mapambano ya Kiroho
    Dakika 20-30
  • Somo la 16: Muhtasari wa Kukua Katika Kristo
    Dakika 10-15
4 moduli 16 masomo
$0.00 $4.00
100% OFF Ofa Maalum
Inaisha 31 Jul 2026
Jisajili ili ujiunge Ingia
Kinachohitajika Ili Kujiunga

Kozi hii inafaa kwa wote. Hata hivyo, kozi hizi zinaweza kukusaidia kuelewa vizuri zaidi: